Luke 11:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwe mwangalifu basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyo ndani yako isiwe giza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalia basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo iweni waangalifu ili nuru iliyo ndani yenu usiwe giza!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Uwe mwangalifu basi mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwe mwangalifu basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyoko ndani yako isiwe giza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyoko ndani yako isiwe giza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalia basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwe mwangalifu basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo angalia, mwanga uliomo ndani yako usiwe giza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalia basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujiangalie vizuri kusudi mwangaza unaokuwa ndani yako usigeuke kuwa giza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Angalia bassi, ile nuru iliyo ndani yako isije ikawa giza.