Luke 11:39 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana akamwambia, “Nyinyi Mafarisayo huosha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Bwana Isa akamwambia, “Sasa, enyi Mafarisayo mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyang’anyi na uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia, Ninyi Mafarisayo mwasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani yenu mmejaa unyang'anyi na uovu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bwana akamwambia, “Usafi mnaoufanya ninyi Mafarisayo ni kama kusafisha kikombe au sahani kwa nje tu. Lakini ndani yenu mna nini? Mnataka kuwadanganya na kuwaumiza watu tu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Bwana akamwambia, “Ninyi Mafarisayo huosha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana akamwambia, “Nyinyi Mafarisayo huosha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Bwana akamwambia, “Enyi Mafarisayo, mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa choyo na uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Bwana Isa akamwambia, “Sasa, enyi Mafarisayo, mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyang’anyi na uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana akamwambia, Ninyi Mafarisayo mwasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani yenu mmejaa unyang'anyi na uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana akamwambia, “Nyinyi Mafarisayo huosha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia: Ninyi Mafariseo, vinyweo na vyano mnaviosha nje, lakini ndani ninyi mmejaa mapokonyo na mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana akamwambia, Ninyi Mafarisayo mwasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani yenu mmejaa unyang’anyi na uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Bwana akamwambia: “Ninyi Wafarisayo ni kama mutu anayesafisha tu inje ya kikombe na sahani; lakini ndani yenu mumejaa tamaa ya wizi na uovu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bwana akamwambia, Sasa ninyi Mafarisayo mwasafisha kikombe na sabani kwa nje, lakini ndani yenu mmejaa unyangʼanyi ua uovu.