Luke 11:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapumbavu nyinyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi wapumbavu! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza nje ndiye alitengeneza na ndani pia?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi wapumbavu; aliyevifanya vya nje, siye yeye aliyevifanya vya ndani pia?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi ni wajinga! Aliyeumba kilicho nje ndiye aliumba kilicho ndani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wapumbavu ninyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapumbavu nyinyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enyi wapumbavu! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza nje ndiye aliyetengeneza na ndani pia?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi wapumbavu! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza nje ndiye alitengeneza na ndani pia?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi wapumbavu; aliyevifanya vya nje, siye yeye aliyevifanya vya ndani pia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapumbavu nyinyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
M wajinga, aliyevifanya vya nje hakuvifanya vya ndani navyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi wapumbavu; aliyevifanya vya nje, siye yeye aliyevifanya vya ndani pia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi wapumbafu! Si Mungu aliyeumba inje ya mutu ndiye aliyeumba ndani yake vilevile?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Enyi wapumbavu, yeye aliyekifauya cha nje, siye aliyekifanya cha ndani naebo?