Luke 11:41 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Toeni kwa maskini vile vitu vilivyomo ndani, na vingine vyote vitakuwa halali kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi toeni sadaka ya vile mlivyo navyo, na tazama, vitu vyote vitakuwa safi kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, toeni sadaka vile vya ndani, na tazama, vyote huwa safi kwenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo, jalini vilivyo ndani. Wapeni vitu wenye uhitaji. Ndipo mtakuwa wasafi kikamilifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Toeni kwa maskini vile vitu vilivyomo ndani, na vingine vyote vitakuwa halali kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Toeni kwa maskini vile vitu vilivyomo ndani, na vingine vyote vitakuwa halali kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi toeni sadaka vile mlivyo navyo na tazama, vitu vyote vitakuwa safi kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi toeni sadaka ya vile mlivyo navyo, na tazama, vitu vyote vitakuwa safi kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, toeni sadaka vile vya ndani, na tazama, vyote huwa safi kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Toeni kwa maskini vile vitu vilivyomo ndani, na vingine vyote vitakuwa halali kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, vile vilivyomo ndani vigawieni watu! Mara vyenu vyote huwa safi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, toeni sadaka vile vya ndani, na tazama, vyote huwa safi kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi muwasaidie wamasikini na vitu vya ndani, na vingine vyote vitakuwa safi kwenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini toeni sadaka vile vya ndani, na tazama, vitu vyote ni safi kwemi.