Luke 11:47 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wenu, kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ole wenu, kwa sababu ninyi mnajenga makaburi ya manabii waliouawa na baba zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wenu, kwa kuwa mwajenga maziara ya manabii, na baba zenu ndio waliowaua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ole wenu kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii. Lakini hawa ni manabii wale wale ambao mababu zenu waliwaua.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ole wenu, kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wenu, kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ole wenu, kwa sababu ninyi mnawajengea makaburi manabii waliouawa na baba zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ole wenu, kwa sababu ninyi mnajenga makaburi ya manabii waliouawa na baba zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wenu, kwa kuwa mwajenga maziara ya manabii, na baba zenu ndio waliowaua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wenu, kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatawapata ninyi, kwani mnayajenga makaburi ya wafumbuaji, nao baba zenu ndio waliowaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wenu, kwa kuwa mwajenga maziara ya manabii, na baba zenu ndio waliowaua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwenu! Munajenga makaburi ya manabii, wale waliouawa na babu zenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ole wenu kwa sababu mnajenga makaburi ya manabii, na baba zenu waliwaua.