Luke 11:50 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo kizazi hiki kitawajibika kwa ajili ya damu ya manabii iliyomwagwa tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kwa kizazi hiki itakwe damu ya manabii wote, iliyomwagika tangu kupigwa msingi wa ulimwengu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo ninyi watu mnaoishi sasa mtaadhibiwa kwa sababu ya vifo vya manabii wote waliouawa tangu mwanzo wa ulimwengu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo kizazi hiki kitawajibika kwa ajili ya damu ile ya manabii iliyomwagwa tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo kizazi hiki kitawajibika kwa ajili ya damu ya manabii iliyomwagwa tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kwa kizazi hiki itakwe damu ya manabii wote, iliyomwagika tangu kupigwa msingi wa ulimwengu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wao wa kizazi hiki walipishwe damu za wafuambji wote zilizomwagwa tangu hapo, ulimwengu ulipoumbwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kwa kizazi hiki itakwe damu ya manabii wote, iliyomwagika tangu kupigwa msingi wa ulimwengu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi watu wa kizazi hiki watabeba lazima ya damu ya manabii wote iliyomwangwa tangu kuumbwa kwa dunia,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi kwa kizazi hiki itakwe damu ya manabii wote ilivomwagika tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu;