Luke 11:53 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na waalimu wa sheria walianza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alipoondoka huko, walimu wa Torati na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipotoka humo, waandishi na Mafarisayo walianza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa maswali mengi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alipotoka humo, walimu wa sheria na Mafarisayo walianza kumpinga sana. Walianza kumjaribu ili awajibu maswali kuhusu mambo mengi,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na walimu wa Sheria wakaanza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na waalimu wa sheria walianza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu alipoondoka huko, walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa alipoondoka huko, walimu wa Torati na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipotoka humo, Waandishi na Mafarisayo walianza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa maswali mengi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na waalimu wa sheria walianza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipotoka mle, waandishi na Mafariseo wakaanza kumtunduia sana na kumwuliza maneno mengi
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipotoka humo, waandishi na Mafarisayo walianza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa maswali mengi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipoondoka katika nyumba ya yule Mufarisayo, walimu wa Sheria na Wafarisayo wakaanza kumushambulia vikali sana na kumwuliza maneno mengi
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipokuwa akiwaambia haya, waandishi na Mafarisayo wakaanza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa masiala mengi, wakimwotea,