Luke 11:6 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu rafiki yangu amekuja kutoka safarini, nami sina kitu cha kumpa ale.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake;
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu rafiki yangu amekuja kutoka safarini, nami sina kitu cha kumpa.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu rafiki yangu amekuja kutoka safarini, nami sina kitu cha kumpa.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani rafiki yangu aliyechwelewa njiani amenifikia, nami sina cha kumwandalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana mumoja kati ya warafiki zangu amenifikia kutoka safari, nami sina chakula cha kumupatia.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ee rafiki, uniazime mikate mitatu: maana rafiki yangu amekuja kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kumwandikia.