Luke 12:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Yeyote anayesema neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye kila atakayenena neno baya dhidi ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini yeyote atakayemkufuru Roho Mtakatifu wa Mungu hatasamehewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila mtu atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali aliyemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila asemaye neno kinyume na Mwana wa Adamu atasamehewa. Lakini atakayesema kinyume na Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Yeyote anayesema neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Yeyote anayesema neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye kila atakaye nena neno baya dhidi ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini ye yote atakayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye kila atakayenena neno baya dhidi ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini yeyote atakayemkufuru Roho wa Mwenyezi Mungu hatasamehewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila mtu atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali aliyemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Yeyote anayesema neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila atakayesema neno la kumbisha Mwana wa mtu ataondolewa; lakini aliyembeza Roho Mtakatifu hataondolewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila mtu atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali aliyemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Na kila mutu anayesema vibaya juu ya Mwana wa Mutu atasamehewa, lakini kila mutu anayemutukana Roho Mutakatifu, hatasamehewa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na killa mmoja atakaesema neno juu ya Mwana wa Adamu, atasamehewa, bali yeye aliyemtukana Roho Mtakatifu hatasamehewa.