Luke 12:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna jambo lolote lililositirika ambalo halitafunuliwa, au lililofichwa ambalo halitajulikana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila kitu kilichofichwa kitawekwa wazi, na kila kitu kilicho sirini kitajulikana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna jambo lo lote lililositirika ambalo halitafunuliwa au lililofichwa ambalo halitajulikana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna jambo lolote lililositirika ambalo halitafunuliwa, au lililofichwa ambalo halitajulikana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna lililofunikwa lisilofunuliwa halafu, wala hakuna lililofichwa lisilotambulikana halafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna kitu chochote kinachofichwa kitakachokosa kuvumbulikana wala hakuna siri itakayokosa kujulikana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini hakuna neno lililofunikwa ambalo halitafunuliwa khalafu, wala lililostirika ambalo halitajulika khalafu.