Luke 12:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Maisha ni muhimu zaidi ya chakula mnachokula na mwili ni zaidi ya mavazi mnayovaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maisha ni zaidi ya chakula na mwili ni zaidi ya mavazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, na mwili ni bora kuliko mavazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani maisha hupita vyakula, nao mwili hupita mavazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uzima unapita chakula, nao mwili ni wa lazima kuliko nguo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana maisha ni zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi.