Luke 12:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnapaswa kufikiri kuhusu ufalme wa Mungu. Naye Mungu atawapa mambo mengine yote mnayohitaji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Shughulikieni kwanza Ufalme wa Mungu, na hayo yote mtapewa kwa ziada.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali utafuteni Ufalme wa Mungu na vitu hivyo vyote atawapatia pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali utafuteni Ufalme wa Mwenyezi Mungu, na haya yote atawapa pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini utafuteni ufalme wake! Ndivyo mtakavyopewa hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ninyi mutafute Ufalme wake, naye atawaongezea vitu hivi vyote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na haya yote mtazidishiwa.