Luke 12:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapokuwapo na mioyo yenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa kuwa mahali ilipo hazina yako, ndipo roho yako itakapokuwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana hazina yako ilipo, ndipo na moyo wako utakapokuwa pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapokuwapo na mioyo yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani limbiko lenu liliko, ndiko, nayo mioyo yenu itakakokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapokuwapo na mioyo yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana pahali akiba yenu inapokuwa, ni pale roho zenu zinapokuwa vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana hazina yenu ilipo ndipo na itakapokuwa na mioyo yenu.