Luke 12:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Muwe tayari mmejifunga mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Viuno vyenu na viwe vimefungwa, na taa zenu ziwe zinawaka;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Iweni tayari! Vaeni kikamilifu na taa zenu zikiwaka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Muwe tayari! Jifungeni mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Muwe tayari mmejifunga mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Iweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kuweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Viuno vyenu na viwe vimefungwa, na taa zenu ziwe zinawaka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Muwe tayari mmejifunga mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Mwe mmejifunga viuno vyenu, nazo taa zenu ziwe zinawaka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Viuno vyenu na viwe vimefungwa, na taa zenu ziwe zinawaka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mukuwe tayari kwa kutumika na kuacha taa zenu zikiwaka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mwe, bassi, mmefungwa viuno, na taa zikiwaka;