Luke 12:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata kama atarudi usiku wa manane au alfajiri na kuwakuta wanakesha, heri yao watumishi hao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itakuwa heri kwa watumwa hao ikiwa bwana wao atakapokuja atawakuta wamekesha hata kama atakuja usiku wa manane, au karibu na mapambazuko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na akija zamu ya pili, au akija zamu ya tatu, na kuwakuta hivi, heri watumwa hao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watumishi hao wanaweza kumsubiri bwana wao mpaka usiku wa manane. Lakini watafurahi sana kwa sababu aliporudi aliwakuta bado wanamsubiri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Heri yao watumishi hao ikiwa bwana wao atawakuta wanakesha hata ikiwa atarudi usiku wa manane au alfajiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata kama atarudi usiku wa manane au alfajiri na kuwakuta wanakesha, heri yao watumishi hao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itakuwa heri kwa watumwa hao ikiwa bwana wao atakapokuja atawakuta wamekesha hata kama atakuja mnamo usiku wa manane, au karibu na mapambazuko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itakuwa heri kwa watumwa hao ikiwa bwana wao atakapokuja atawakuta wamekesha hata kama atakuja mnamo usiku wa manane, au karibu na mapambazuko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na akija zamu ya pili, au akija zamu ya tatu, na kuwakuta hivi, heri watumwa hao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata kama atarudi usiku wa manane au alfajiri na kuwakuta wanakesha, heri yao watumishi hao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ndio, atakaowakuta hivyo, hata akija zamu ya pili au ya tatu ya kulinda usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na akija zamu ya pili, au akija zamu ya tatu, na kuwakuta hivi, heri watumwa hao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri watumishi wale atakaowakuta wakikesha hata akifika katikati ya usiku au nyuma ya saa ile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na akija kesha la pili au akija kesha la tatu, na kuwakuta hivi, wa kheri watumishi wale.