Luke 12:39 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angejua saa mwizi atakuja, hangeiacha nyumba yake kuvunjwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini fahamuni neno hili, Kwamba mwenye nyumba angalijua saa atakayokuja mwivi, angalikesha, wala asingaliacha nyumba yake kuvunjwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwenye nyumba angefanya nini ikiwa angejua ni lini mwizi atakuja? Mnajua kuwa asingeruhusu mwizi akavunja na kuingia ndani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini fahamuni jambo hili kwamba: Kama mwenye nyumba angalijua ni saa ipi mwivi atakapokuja, asingaliacha nyumba yake kuvunjwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angalijua saa mwizi atakuja, asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini fahamuni neno hili, Kwamba mwenye nyumba angalijua saa atakayokuja mwizi, angalikesha, wala asingaliacha nyumba yake kuvunjwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini litambueni neno hili: kama mwenye nyumba angaliijua saa, mwizi atakayojia, hangaliacha, nyumba yake ibomeolewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini fahamuni neno hili, Kwamba mwenye nyumba angalijua saa atakayokuja mwivi, angalikesha, wala asingaliacha nyumba yake kuvunjwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munajua vema kwamba mwenye nyumba angejua saa gani mwizi atakapokuja kumwiba, asingeacha nyumba yake ibomolewe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini jueni haya ya kuwa mwenye nyumba angaliijua saa atakayokuja mwizi, angalikesha asiache nyumba yake kuvunjwa.