Luke 12:41 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana Isa, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Petro akamwambia, Bwana, mithali hiyo umetuambia sisi tu, au watu wote pia?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro akasema, “Bwana, mfano ule ulikuwa kwa ajili yetu au kwa ajili ya watu wote?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Petro akamwuliza, “Bwana, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana Isa, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Petro akamwambia, Bwana, mfano huo umetuambia sisi tu, au watu wote pia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Petero akasema: Bwana, mfano huu unatuambia sisi tu au watu wote?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro akamwambia, Bwana, mithali hiyo umetuambia sisi tu, au watu wote pia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Petro akamwuliza Yesu: “Bwana, mufano huu unatuelekea sisi wenyewe au unawaelekea watu wote?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akasema, Bwana, unatuambia sisi mfano huu au watu wote pia?