Luke 12:43 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri yake mtumishi huyo ikiwa bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta anafanya hivyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mkuu wake atakaporudi na kumkuta akifanya kazi aliyompa, siku hiyo itakuwa siku ya furaha sana kwa mtumishi huyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Heri yake mtumishi huyo ikiwa bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri yake mtumishi huyo ikiwa bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itakuwa ni furaha kwa mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta anafanya hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri yake mtumishi huyo ikiwa bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtumwa yule, bwana wake atakayemkuta, akifanya hivyo, atakapokuja.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta anafanya hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutumishi yule, ikiwa saa bwana wake anaporudia, anamukuta akifanya kazi ile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yu kheri mtumishi yule ambae bwana wake ajapo atamkuta amefanya hivyo.