Luke 12:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kweli nawaambia, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawaambia ukweli bila mashaka yo yote, mkuu wake atamweka kuwa msimamizi wa vitu vyake vyote anavyomiliki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amin nawaambia, atampa mamlaka juu ya vyote alivyo navyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kweli nawaambia, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nawaambiani: Atampa kuzitunza mali zake zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kweli nawaambia, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli ninawaambia: bwana wake atamuweka mutumishi yule kuwa musimamizi wa mali yake yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amin, nawaambieni, atamweka juu ya mali zake zote.