Luke 12:49 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nimekuja kuwasha moto duniani; laiti ungekuwa umewaka tayari!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nimekuja kuleta moto duniani; laiti kama ungekuwa tayari umewashwa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekuja kutupa moto duniani; na ukiwa umekwisha washwa, ni nini nitakalo zaidi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu aliendelea kusema: “Nimekuja kuleta moto ulimwenguni. Ninatamani ungekuwa unawaka tayari!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Nimekuja kuwasha moto duniani, laiti ungekuwa umewaka tayari!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimekuja kuwasha moto duniani; laiti ungekuwa umewaka tayari!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nimekuja kuleta moto duniani, laiti kama ungekuwa tayari umewashwa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nimekuja kuleta moto duniani; laiti kama ungekuwa tayari umewashwa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekuja kutupa moto duniani; na ukiwa umekwisha washwa, ni nini nitakalo zaidi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimekuja kuwasha moto duniani; laiti ungekuwa umewaka tayari!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalijia kutupa moto nchini, tena hakuna ninachokitaka, ila uwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekuja kutupa moto duniani; na ukiwa umekwisha washwa, ni nini nitakalo zaidi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Nimekuja kuleta moto katika dunia, nami ningetaka sana kuona ukiwa umekwisha kuwaka!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nimekuja kutupa moto duniani, na ukiwa umekwisha kuwashwa nataka nini zaidi?