Luke 12:50 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninao ubatizo ambao lazima nibatizwe, nayo dhiki yangu ni kuu hadi ubatizo huo ukamilike!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nina ubatizo unipasao kubatiziwa, nami nina dhiki kama nini hata utimizwe!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuna aina ya ubatizo ambao ni lazima niupitie na niteseke. Ninajisikia kusumbuka mpaka pale utakapotimizwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninao ubatizo ambao lazima nibatizwe, nayo dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo ukamilike!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninao ubatizo ambao lazima nibatizwe, nayo dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo ukamilike!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nina ubatizo unipasao kubatiziwa, nami nina dhiki kama nini hata utimizwe!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninao ubatizo, ndio nibatizwe; nami ninasongeka sana, mpaka umalizike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nina ubatizo unipasao kubatiziwa, nami nina dhiki kama nini hata utimizwe!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niko na muzigo wa mateso ninaopaswa kubeba, nami ninasongwa sana mpaka mapaswa hayo yatakapotimizwa!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nina ubatizo wa kubatizwa nao, na nina dhiiki namna gani hatta utakapotimizwa!