Luke 12:52 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzia sasa, kutakuwa na watu watano katika nyumba moja, watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa tokea sasa katika nyumba moja watakuwamo watu watano wamefarakana, watatu kwa wawili, wawili kwa watatu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuanzia sasa, familia ya watu watano itagawanyika, watatu watakuwa kinyume cha wawili, na wawili kinyume cha watatu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia sasa, kutakuwa na watu watano katika nyumba moja, watatu dhidi ya wawili na wawili dhidi ya watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzia sasa, kutakuwa na watu watano katika nyumba moja, watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa tokea sasa katika nyumba moja watakuwamo watu watano wamefarakana, watatu kwa wawili, wawili kwa watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani tokea sasa watu watano waliomo katika nyumba moja watatengana, watatu wagombanishe wawili, nao wawili wagombanishe watatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa tokea sasa katika nyumba moja watakuwamo watu watano wamefarakana, watatu kwa wawili, wawili kwa watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana tangu sasa watu watano wa jamaa moja watatengana; watatu watapingana na wawili, na wawili watapingana na watatu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana tangu sasa katika nyumba moja watakuwa watu watano wamefarakana, watatu na wawili, na wawili na watatu.