Luke 12:59 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika hutatoka huko, nakuambia, mpaka utakapomaliza kulipa senti ya mwisho.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nakuambia, hutatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawaambieni, hautatoka humo, mpaka ulipe kila senti unayodaiwa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hakika hutatoka huko nakwambia, mpaka utakapomaliza kulipa senti ya mwisho.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika hutatoka huko, nakuambia, mpaka utakapomaliza kulipa senti ya mwisho.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawaambia, hautatoka humo hadi ulipe senti ya mwisho.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakuambia, Hutoki humo kamwe hadi umalize kulipa hata senti ya mwisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika hutatoka huko, nakuambia, mpaka utakapomaliza kulipa senti ya mwisho.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nakuambia: Hutatoka humo kabisa, mpaka utakapomaliza kulipa, isisalie hata senti moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuambia: hautatoka mule mpaka utakapomaliza kulipa sengi la mwisho.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nakuambia, Hutoki humo kabisa hatta uishe kulipa roho pesa ya mwisho.