Luke 12:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. Hivyo msiogope, kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko mashomoro wengi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo, Mungu anajua hata idadi ya nywele mlizonazo kwenye vichwa vyenu. Msiogope ninyi ni wa thamani kuliko ndege wengi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi, ninyi mna thamani zaidi kuliko shomoro wengi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, hata idadi ya nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa. Kwa hiyo msiogope, ninyi ni wa thamani kuliko mashomoro wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. Hivyo msiogope, kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko Shomoro wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwenu ninyi hata nywele za vichwani penu zimehesabiwa zote. Kwa hiyo msiogope, ninyi mnapita videge vingi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko mashomoro wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Basi musiogope kwa sababu ninyi ni bora zaidi kuliko ndege wengi!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
walakini hatta nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope bassi: ninyi bora kuliko videge vingi.