Luke 13:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, hapa yupo binti wa Abrahamu ambaye Shetani alimfanya kilema kwa muda wa miaka kumi na minane. Je, haikuwa vizuri kumfungulia vifungo vyake siku ya Sabato?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, huyu mwanamke, ambaye ni binti ya Ibrahimu, aliyeteswa na Shetani akiwa amemfunga kwa miaka yote hii kumi na nane, hakustahili kufunguliwa kutoka kifungo hicho siku ya Sabato?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huyu mwanamke, aliye wa uzao wa Ibrahimu, ambaye Shetani amemfunga miaka kumi na minane hii, haikupasa afunguliwe kifungo hiki siku ya sabato?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwanamke huyu niliyemponya ni mzaliwa halisi wa Ibrahimu. Lakini Shetani alikuwa amemfunga kwa miaka kumi na nane. Hakika si kosa yeye kuponywa ugonjwa wake siku ya Sabato!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa, hapa yupo binti wa Abrahamu ambaye Shetani alimfanya kilema kwa muda wa miaka kumi na minane. Je, haikuwa vizuri kumfungulia vifungo vyake siku ya Sabato?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, hapa yupo binti wa Abrahamu ambaye Shetani alimfanya kilema kwa muda wa miaka kumi na minane. Je, haikuwa vizuri kumfungulia vifungo vyake siku ya Sabato?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, huyu mwanamke, ambaye ni binti wa Abrahamu, aliyeteswa na Shetani akiwa amemfunga kwa miaka yote hii kumi na minane, hakustahili kufunguliwa kutoka katika kifungo hicho siku ya Sabato?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, huyu mwanamke, ambaye ni binti wa Ibrahimu, aliyeteswa na Shetani akiwa amemfunga kwa miaka yote hii kumi na minane, hakustahili kufunguliwa kutoka kifungo hicho siku ya Sabato?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huyu mwanamke, aliye wa uzao wa Abrahamu, ambaye Shetani amemfunga miaka kumi na minane hii, haikupasa afunguliwe kifungo hiki siku ya sabato?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, hapa yupo binti wa Abrahamu ambaye Shetani alimfanya kilema kwa muda wa miaka kumi na minane. Je, haikuwa vizuri kumfungulia vifungo vyake siku ya Sabato?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini huyu aliye mwana wa Aburahamu haikumpasa kufunguliwa siku ya mapumziko kifungo hiki, Satani alichomfunga miaka 18?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huyu mwanamke, aliye wa uzao wa Ibrahimu, ambaye Shetani amemfunga miaka kumi na minane hii, haikupasa afunguliwe kifungo hiki siku ya sabato?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, mwanamuke huyu anayekuwa wa uzao wa Abrahamu, ambaye alifungwa na Shetani kwa muda wa miaka kumi na minane, haikumupasa afunguliwe katika kifungo hiki ingawa ni siku ya Sabato?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na huyu, aliye binti Ibrahimu, amhae Shetani amemfunga miaka kumi na minane hii, haikupasa afunguliwe kifungo hiki siku ya sabato?