Luke 13:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha alisema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Nami niufananishe na nini?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akasema, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Niufananishe na nini?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yesu akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mwenyezi Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha alisema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Nami niufananishe na nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akasema: Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Niufananishe na nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha alisema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Nami niufananishe na nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akasema tena: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, akasema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Na niufananishe na nini?