Luke 13:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akauliza tena, “Nitaufananisha ufalme wa Mungu na nini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema mara ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akasema tena, “Niufananishe na nini ufalme wa Mungu?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena akauliza: “Nitaulinganisha Ufalme wa Mungu na nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mungu na nini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mwenyezi Mungu na nini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema mara ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena akasema: Ufalme wa Mungu niufananishe na nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema mara ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akasema tena: “Nitafananisha Ufalme wa Mungu na nini?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akasema marra ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu?