Luke 13:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi mtaanza kumwambia: ‘Sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ndipo mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, tena ulifundisha katika mitaa yetu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo mtaanza kusema, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe. Ulifundisha katika mitaa ya mji wetu.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nanyi mtaanza kumwambia: Sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi mtaanza kumwambia: ‘Sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ndipo mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, tena ulifundisha katika mitaa yetu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ndipo mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, tena ulifundisha katika mitaa yetu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi mtaanza kumwambia: ‘Sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtakapoanza kusema: Tumekula, tumekunywa machoni pako, nawe umetufundisha viwanjani petu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mutaanza kumwambia: ‘Sisi tulikula na kunywa pamoja nawe, na wewe ulifundisha katika barabara za muji wetu.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula, na kunywa mbele yako; nawe ulifundisha kalika njia zetu;