Luke 13:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uuache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mtumishi alijibu, ‘Mkuu, tuuache mti huu mwaka mmoja zaidi ili tuone ikiwa utazaa matunda. Nitakusanya samadi kuuzunguka ili kuupa mbolea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini naye akamjibu: Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini huyo akajibu akimwambia: Bwana, uuache mwaka huu tu, niuchimbie pembenipembeni, nikautilie mbolea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule mutunzaji wa shamba akajibu: ‘Bwana, uuache tena mwaka huu; nitalima pembenipembeni yake na kuutilia mboleo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamjibu, akamwambia, Bwana, uache mwaka huu nao, hatta nikaupalilie, na kuusamadi: