Luke 13:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vema; la sivyo, basi utaweza kuukata.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao ukizaa matunda mwaka ujao, vyema! La sivyo, uukate.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao ukizaa matunda baadaye, vema! La, usipozaa, ndipo uukate.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unaweza kuzaa matunda mwaka ujao. Ikiwa hautazaa, ndipo utaweza kuukata.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vema; la sivyo, basi utaweza kuukata.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vema; la sivyo, basi utaweza kuukata.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vyema, la sivyo ukate.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vyema, la sivyo uukate.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao ukizaa matunda baadaye, vema! La, usipozaa, ndipo uukate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vema; la sivyo, basi utaweza kuukata.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labda utazaa matunda siku zitakazokuja. Lakini usipozaa, basi, utaukata.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao ukizaa matunda baadaye, vema! La, usipozaa, ndipo uukate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi utaweza labda kutoa matunda mwaka kesho! Kama si vile, basi utaukata!’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nao ukizaa matunda, vyema, la! haukuzaa, ndipo utaukata.