Luke 14:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Badala yake, unapofanya karamu, waalike maskini, vilema, viwete na vipofu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali unapoandaa karamu, waalike maskini, vilema, viwete na vipofu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali ufanyapo karamu waite maskini, vilema, viwete, vipofu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ufanyapo sherehe waalike maskini, waliolemaa, walemavu wa miguu, na wasiyeona.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Badala yake, unapofanya karamu, waalike maskini, vilema viwete na vipofu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Badala yake, unapofanya karamu, waalike maskini, vilema, viwete na vipofu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali ufanyapo karamu, waalike maskini, vilema na vipofu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali ufanyapo karamu, waalike maskini, vilema na vipofu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali ufanyapo karamu waite maskini, vilema, viwete, vipofu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Badala yake, unapofanya karamu, waalike maskini, vilema, viwete na vipofu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila unapofanya karamu uwaalike wakiwa na wavilema na viwete na vipofu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali ufanyapo karamu waite maskini, vilema, viwete, vipofu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakati unapofanya karamu, uwaalike wamasikini, vilema, viwete na vipofu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali ufanyapo karamu, wakaribishe maskini, vilema, viwete, vipofu: nawe utakuwa kheri: