Luke 14:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake akawaambie walioalikwa, ‘Njoni, kila kitu ni tayari.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wa karamu ulipofika, akamtuma mtumishi wake akawaambie wale walioalikwa, ‘Karibuni, kila kitu ki tayari sasa.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akamtuma mtumwa wake saa ya chakula awaambie wale walioalikwa, Njoni, kwa kuwa vitu vyote vimekwisha kuwekwa tayari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati wa kuanza sherehe ulipofika, alimtuma mtumishi wake awaambie wale walioalikwa, ‘Tafadhalini njooni sasa. Kila kitu kiko tayari.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake awaambie walioalikwa, Njoni, kila kitu ni tayari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake akawaambie walioalikwa, ‘Njoni, kila kitu ni tayari.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wa karamu ulipofika akamtuma mtumishi wake akawaambie wale walioalikwa, ‘Karibuni, kila kitu ni tayari sasa.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wa karamu ulipofika, akamtuma mtumishi wake akawaambie wale walioalikwa, ‘Karibuni, kila kitu ki tayari sasa.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akamtuma mtumwa wake saa ya chakula awaambie wale walioalikwa, Njooni, kwa kuwa vitu vyote vimekwisha kuwekwa tayari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake akawaambie walioalikwa, ‘Njoni, kila kitu ni tayari.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Saa ya karamu ilipotimia, akatuma mtumwa wake, aende, awaambie walioalikwa: Njoni! Kwani vyote viko tayari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akamtuma mtumwa wake saa ya chakula awaambie wale walioalikwa, Njoni, kwa kuwa vitu vyote vimekwisha kuwekwa tayari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saa ya karamu ilipotimia akamutuma mutumishi wake kwenda kuwaambia walioalikwa kwamba wafike kwa maana vitu vyote viko tayari.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akamtuma mtumishi wake saa ya karamu kwenda kuwaambia walioalikwa, Njoni, maana vitu vyote vimekwisha kuwa tayari.