Luke 14:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwingine akasema: ‘Nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima, sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwingine akasema, ‘Ndipo tu nimenunua jozi tano za ng’ombe wa kulimia, nami ninaenda kuwajaribu, tafadhali niwie radhi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwingine akasema, Nimenunua ng'ombe jozi tano, ninakwenda kuwajaribu; tafadhali unisamehe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwingine alisema, ‘Nimenunua ng'ombe wa kulimia jozi tano; ni lazima niende kuwajaribu. Tafadhali unisamehe.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwingine akasema: Nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima; sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwingine akasema: ‘Nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima, sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwingine akasema, ‘Ndipo tu nimenunua jozi tano za ng'ombe wa kulimia, nami ninakwenda kuwajaribu, tafadhali niwie radhi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwingine akasema, ‘Ndipo tu nimenunua jozi tano za ng’ombe wa kulimia, nami ninakwenda kuwajaribu, tafadhali niwie radhi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwingine akasema, Nimenunua ng'ombe jozi tano, ninakwenda kuwajaribu; tafadhali unisamehe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwingine akasema: ‘Nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima, sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwingine akasema: Nimenunua ng'ombe kumi wa kuvuta magari, nami ninakwenda, niwajaribu; nakuomba, usiniwekee mfundo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwingine akasema, Nimenunua ng’ombe jozi tano, ninakwenda kuwajaribu; tafadhali unisamehe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwingine akamwambia: ‘Nimenunua ngombe kwa ajili ya kazi ya kulima, nami ninakwenda kuwapima. Tafazali, unisamehe.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mwingine akasema, Nimenunua ngʼombe, jozi tano: naenda niwajaribu; nakuomba unisamehe.