Luke 14:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye, mtumishi huyo akasema: ‘Bwana, mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yule mtumishi akamwambia, ‘Bwana, yale uliyoniagiza nimefanya, lakini bado ipo nafasi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtumwa akasema, Bwana, hayo uliyoagiza yamekwisha tendeka, na hata sasa ingaliko nafasi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadaye mtumishi akamwambia, ‘Mkuu nimefanya kama ulivyoniagiza, lakini bado tuna nafasi kwa ajili ya watu wengine zaidi.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadaye, mtumishi huyo akasema: Bwana mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye, mtumishi huyo akasema: ‘Bwana, mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yule mtumishi akamwambia, ‘Bwana, yale uliyoniagiza nimefanya, lakini bado ipo nafasi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yule mtumishi akamwambia, ‘Bwana, yale uliyoniagiza nimefanya, lakini bado ipo nafasi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtumwa akasema, Bwana, hayo uliyoagiza yamekwisha tendeka, na hata sasa ingaliko nafasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye, mtumishi huyo akasema: ‘Bwana, mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtumwa akasema: Bwana, imekwisha fanyika, uliyoniagiza, lakini hamjajaa bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtumwa akasema, Bwana, hayo uliyoagiza yamekwisha tendeka, na hata sasa ingaliko nafasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, yule mutumishi akarudia na kusema: ‘Bwana, nimetimiza sawa ulivyoniamuru, lakini kungali nafasi.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yule mtumishi akasema, Yamekwisha kutendeka hayo uliyoniagiza na ingaliko nafasi.