Luke 14:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati mkubwa wa watu walikuwa wakisafiri pamoja na Isa, naye akageuka, akawaambia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makutano mengi walipokuwa wakifuatana naye, aligeuka, akawaambia,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengi walikuwa wanasafiri pamoja na Yesu. Akawaambia,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia akawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umati mkubwa wa watu ulikuwa ukisafiri pamoja na Yesu, naye akageuka, akawaambia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umati mkubwa wa watu ulikuwa ukisafiri pamoja na Isa, naye akageuka, akawaambia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makutano mengi walipokuwa wakifuatana naye, aligeuka, akawaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipofuatana naye makundi mengi, akageuka, akawaambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makutano mengi walipokuwa wakifuatana naye, aligeuka, akawaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja makundi mengi ya watu walikuwa wakimufuata Yesu nyuma. Yeye akageuka na kuwaambia:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi makutano mengi wakafuatana nae; akageuka akawaambia,