Luke 14:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu ye yote asiyeuchukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeyote ambaye hatauchukua msalaba atakaopewa na akanifuata, hawezi kuwa mfuasi wangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtu asipochukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu ye yote asiyeuchukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote asiyejitolea kwa kubeba musalaba wake na kunifuata, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mfu ye yote asiyechukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.