Luke 14:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
La sivyo, baada ya kuweka msingi, naye akiwa hana uwezo wa kuikamilisha, wote waionao wataanza kumdhihaki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usipofanya hivyo, unaweza ukaanza kazi, lakini ukashindwa kumaliza kujenga nyumba. Na usipoweza kuimaliza, kila mtu atakucheka,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
La sivyo, akiisha kuweka msingi naye akiwa hana uwezo wa kuikamilisha, wote waionao wataanza kumdhihaki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
La sivyo, akiisha kuweka msingi, naye akiwa hana uwezo wa kuikamilisha, wote waionao wataanza kumdhihaki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani akiisha kuweka msingi, asipoweza kumaliza, halafu wote wanaoviona wataanza kumfyoza
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana akiweka musingi, na nyuma anashindwa kumaliza kujenga munara ule, wote wanaoona jambo lile wataanza kumuzarau,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Asije akawa hawezi kuumaliza baada ya kuweka msingi, watu wote wakaanza kumdhihaki, wakisema,