Luke 14:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Chumvi ni kitu chema; lakini chumvi ikiwa imeharibika, itiwe nini ikolee?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Chumvi ni kitu kizuri; lakini chumvi ikipoteza ladha yake, huwezi kuitengenezea ladha tena.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chumvi ni kitu kizuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, inawezaje kurudishiwa tena ladha yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Chumvi ni kitu chema; lakini chumvi ikiwa imeharibika, itiwe nini ikolee?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepotewa na ukolezi itatiwa kiungo gani, ipate kukolea tena?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Chumvi ni kitu chema; lakini chumvi ikiwa imeharibika, itiwe nini ikolee?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Chumvi ni kitu kizuri. Lakini chumvi ikipoteza onjo lake, itatiwa nini kusudi ipate tena kukolea?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Chumvi ni njema, illakini ile chumvi ikiwa imeharibika, itatiwa nini ikolee?