Luke 14:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haifai kitu wala kwa udongo wala kwa mbolea. Watu huitupilia mbali. Mwenye masikio na asikie!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haifai ardhi wala kwa lundo la mbolea, bali hutupwa nje. “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haiifai nchi wala jaa; watu huitupa nje. Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Haifai. Huwezi hata kuitumia kama uchafu au mbolea. Watu huitupa tu. Mnaonisikiliza, sikilizeni!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Haifai kitu wala kwa udongo wala kwa mbolea. Watu huitupilia mbali. Sikieni basi, kama mna masikio!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haifai kitu wala kwa udongo wala kwa mbolea. Watu huitupilia mbali. Mwenye masikio na asikie!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haifai ardhi wala kwa lundo la mbolea, bali hutupwa nje. “Mwenye masikio ya kusikia na asikie.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haifai ardhi wala kwa lundo la mbolea, bali hutupwa nje. “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haiifai nchi wala jaa; watu huitupa nje. Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haifai kitu wala kwa udongo wala kwa mbolea. Watu huitupilia mbali. Mwenye masikio na asikie!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haitafaa tena, wala kutupwa shambani wala penye mbolea, ile huitupa nje tu. Mwenye masikio yanayosikia na asikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haiifai nchi wala jaa; watu huitupa nje. Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haifai tena kitu wala kwa udongo wala kwa mboleo, lakini watu wanaitupa tu. Mwenye kuwa na masikio ya kusikia, asikie!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Haiifai inchi wala jaa; watu huitupa nje. Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.