Luke 14:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakakaa kimya. Hivyo Isa akamshika yule mgonjwa mkono na kumponya, akamruhusu aende zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao wakanyamaza. Akamshika, akamponya, akamruhusu aende zake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini walishindwa kujibu swali lake. Hivyo akamshika yule mgonjwa, na kumponya, akamruhusu aende zake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakakaa kimya. Hivyo Yesu akamshika yule mgonjwa mkono na kumponya, akamruhusu aende zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakakaa kimya. Hivyo Isa akamshika yule mgonjwa mkono na kumponya, akamruhusu aende zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao wakanyamaza. Akamshika, akamponya, akamruhusu aende zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao waliponyamaza, akamshika, akamponya, akamwaga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao wakanyamaza. Akamshika, akamponya, akamruhusu aende zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wao wakanyamaza. Halafu Yesu akamushika mugonjwa, akamuponyesha na kumuruhusu kwenda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamtwaa, akamponya, akamrukhusu.