Luke 14:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mtu akikualika harusini, usiketi mahali pa heshima, isije ikawa amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu akikualika arusini, usikae mahali pa mgeni wa heshima kwa kuwa inawezekana amealikwa mtu mheshimiwa kuliko wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukialikwa na mtu arusini, usiketi katika kiti cha mbele; isiwe kwamba amealikwa mtu mwenye kustahiwa kuliko wewe,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Ukialikwa na mtu katika sherehe ya harusi, usikae katika sehemu za heshima. Wanaweza kuwa wamemwalika mtu muhimu kuliko wewe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Kama mtu akikualika arusini, usiketi mahali pa heshima isije ikawa amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mtu akikualika harusini, usiketi mahali pa heshima, isije ikawa amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mtu akikualika arusini, usikae mahali pa mgeni wa heshima kwa kuwa inawezekana amealikwa mtu mheshimiwa kuliko wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mtu akikualika arusini, usikae mahali pa mgeni wa heshima kwa kuwa inawezekana amealikwa mtu mheshimiwa kuliko wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukialikwa na mtu harusini, usiketi katika kiti cha mbele; isiwe kwamba amealikwa mtu mwenye kustahiwa kuliko wewe,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mtu akikualika harusini, usiketi mahali pa heshima, isije ikawa amealikwa mwingine mheshimiwa kuliko wewe;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukialikwa na mtu, uje arusini, usikae penye viti vya mbele! Labda miongoni mwao walioalikwa yumo mwenye ukuu kukupita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukialikwa na mtu arusini, usiketi katika kiti cha mbele; isiwe kwamba amealikwa mtu mwenye kustahiwa kuliko wewe,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wakati mutu anapokualika kwa karamu ya ndoa, usiikae kwenye viti vya mbele. Labda kati ya waalikwa kuna mutu mwenye heshima kukupita.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ukiitwa na mtu arusini, usiketi katika kiti cha kwanza, isiwe labda mwenye sifa kupita zako amekwitwa nae,