Luke 15:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akaendelea kusema, “Kulikuwa na mtu mmoja mwenye watoto wawili wa kiume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akaendelea kusema: “Kulikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na wana wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akasema, “Alikuwepo mtu mmoja aliyekuwa na wana wawili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akaendelea kusema, “Kulikuwa na mtu mmoja mwenye wana wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akaendelea kusema, “Kulikuwa na mtu mmoja mwenye watoto wawili wa kiume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akaendelea kusema: “Kulikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na wana wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akaendelea kusema: “Kulikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na wana wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akaendelea kusema, “Kulikuwa na mtu mmoja mwenye watoto wawili wa kiume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Kisha akasema: Kulikuwa na mtu mwenye wana wawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akaendelea kuwaambia mufano mwingine: “Mutu mumoja alikuwa na wana wawili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili.