Luke 15:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwana mdogo alimwambia baba yake, ‘Baba, nipe sehemu ya mali ninayotarajia kurithi baadaye.’ Hivyo baba yake akagawa utajiri wake kwa wanawe wawili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yule mdogo, alimwambia baba yake: Baba, nipe urithi wangu. Naye akawagawia mali yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali iliyo urithi wangu. Akawagawia mali yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliye mdogo wao akamwambia baba yake: Baba, nipe fungu la mali litakalokuwa langu! Ndipo, alipowagawanyia mali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mudogo akamwambia baba yake: ‘Baba, unipe ile sehemu ya urizi inayopaswa kuwa yangu.’ Basi baba akagawanya mali yake kati ya wana wake wote wawili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yule aliye mdogo akamwambia baba yake, Baba, nipe sehemu ya mali iniangukiayo. Akawagawanyia vitu vyake.