Luke 15:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika nchi ile, naye akaanza kuhangaika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kutumia kila kitu alichokuwa nacho, kukawa na njaa kali katika nchi ile yote, naye akawa hana chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya kutumia vyote alivyokuwa navyo, kukatokea njaa kali katika nchi ile yote. Akawa na njaa na mhitaji wa pesa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika nchi ile, naye akaanza kuhangaika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika nchi ile, naye akaanza kuhangaika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kutumia kila kitu alichokuwa nacho, kukawa na njaa kali katika nchi ile yote, naye akawa hana cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kutumia kila kitu alichokuwa nacho, kukawa na njaa kali katika nchi ile yote, naye akawa hana chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kubwa iliingia katika nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika nchi ile, naye akaanza kuhangaika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoziishia zote pia, njaa kubwa ikaiguia nchi ile, naye akaanza kuumia kwa njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokwisha kumaliza mali yake yote, njaa kubwa ikatokea katika inchi ile, akaanza kuishi katika ukosefu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipokwisha kutumia vyote njaa kuu ikaingia inchi ile, yeye nae akaanza kuhitaji.