Luke 15:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikuwa anasikia njaa kiasi kwamba alikuwa anatamani kula chakula walichokula nguruwe. Lakini hakuna mtu aliyempa chakula.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitamani kula maganda waliyokula wale nguruwe, ila hakuna mtu aliyempa kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akataka sana kulijaza tumbo lake maganda tu, nguruwe waliyokula, lakini hakuna aliyempa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye alitamani sana kula maganda yale nguruwe waliyokula, lakini hakuna mutu aliyemupa nayo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawa akitamani kujishihisha tumbo lake kwa maganda yale waliyokula nguruwe: wala hapana mtu aliyemna kitu.