Luke 15:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati huo kaka yake alikuwa bado shambani. Alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani, akasikia vifijo na ngoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakati huo, yule mwana mkubwa alikuwa shambani. Alipokaribia nyumbani, akasikia sauti ya nyimbo na watu wakicheza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwako shamba na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na machezo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwanaye mkubwa alikuwa shambani. Alipoikaribia nyumba, alisikia sauti za muziki na kucheza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Wakati huo kaka yake alikuwa bado shambani. Alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani akasikia vifijo na ngoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati huo kaka yake alikuwa bado shambani. Alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani, akasikia vifijo na ngoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati huo, yule mwana mkubwa alikuwa shambani. Alipokaribia nyumbani, akasikia sauti ya nyimbo na watu wakicheza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati huo, yule mwana mkubwa alikuwa shambani. Alipokaribia nyumbani, akasikia sauti ya nyimbo na watu wakicheza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwa shambani na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na nderemo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati huo kaka yake alikuwa bado shambani. Alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani, akasikia vifijo na ngoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwana wake mkubwa alikuwa shambani; alipokuja na kufika karibu ya mjini akasikia nyimbo na michezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwako shamba na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na machezo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwa wakati ule, mwana wake wa kwanza alikuwa kwenye mashamba. Alipokuwa akirudia na kukaribia nyumba, akasikia sauti ya watu wakiimba na kucheza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, yule mwanawe mkubwa alikuwa shamba, na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, akasikia sauti ya kuimba na kucheza.