Luke 15:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwita mmoja wa watumishi na kumuuliza maana ya mambo yale.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akaita mmoja wa watumishi na akamwuliza, ‘Kuna nini?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: Kuna nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwita mmoja wa watumishi na kumwuliza, ‘Kuna nini?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwita mmoja wa watumishi na kumuuliza, ‘Kuna nini?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: ‘Kuna nini?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaita mtumwa mmoja, akamwuliza: Mambo hayo ya nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwita mumoja kati ya watumishi, na kumwuliza juu ya mambo yanayopitika kule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwita mmojawapo wa watumishi wake akamwuliza khabari, Mambo bayo, maana yake nini?