Luke 15:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mtumishi akamwambia: ‘Ndugu yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia ndama mnono kwa kuwa amempata akiwa salama salimini.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia, ‘Ndugu yako amekuja, naye baba yako amemchinjia ndama aliyenona kwa sababu mwanawe amerudi nyumbani akiwa salama na mzima.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinja ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, yu mzima.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtumishi akasema, ‘Mdogo wako amerudi, na baba yako amechinja ndama aliyenona. Anafurahi kwa sababu amempata mwanaye akiwa salama na mzima.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo mtumishi akamwambia: Ndugu yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia ndama mnono kwa kuwa amempata akiwa salama salimini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mtumishi akamwambia: ‘Ndugu yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia ndama mnono kwa kuwa amempata akiwa salama salimini.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia, ‘Mdogo wako amekuja, naye baba yako amemchinjia ndama aliyenona kwa sababu mwanawe amerudi nyumbani akiwa salama na mzima.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia, ‘Ndugu yako amekuja, naye baba yako amemchinjia ndama aliyenona kwa sababu mwanawe amerudi nyumbani akiwa salama na mzima.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinja ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, akiwa mzima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mtumishi akamwambia: ‘Ndugu yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia ndama mnono kwa kuwa amempata akiwa salama salimini.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Ndugu yako amekuja; ndipo, baba yako alipomchinjia yule ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, yuko mzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinja ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, yu mzima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumishi ule akamujibu: ‘Mudogo wako amerudia salama; kwa hiyo baba yako amechinja yule ngombe mwenye kunona.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwambia, Ndugu yako amekuja: na baba yako amemchinja yule ndama aliyenona kwa sababu amempata yu mzima.