Luke 15:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba yake akamjibu: ‘Mwanangu, wewe uko pamoja nami siku zote, na kila nilicho nacho ni chako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Baba yake akamjibu, ‘Mwanangu, umekuwa nami siku zote na vyote nilivyo navyo ni vyako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Mwanangu, wewe u pamoja nami sikuzote, na vyote nilivyo navyo ni vyako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baba yake akamwambia, ‘Mwanangu, daima umekuwa pamoja nami, na vyote nilivyo navyo ni vyako.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baba yake akamjibu: Mwanangu, wewe uko pamoja nami siku zote, na kila nilicho nacho ni chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba yake akamjibu: ‘Mwanangu, wewe uko pamoja nami siku zote, na kila nilicho nacho ni chako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Baba yake akamjibu, ‘Mwanangu, umekuwa nami siku zote na vyote nilivyo navyo ni vyako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Baba yake akamjibu, ‘Mwanangu, umekuwa nami siku zote na vyote nilivyo navyo ni vyako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Mwanangu, wewe u pamoja nami siku zote, na vyote nilivyo navyo ni vyako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba yake akamjibu: ‘Mwanangu, wewe uko pamoja nami siku zote, na kila nilicho nacho ni chako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Mwanangu, wewe siku zote uko pamoja nami, nayo yote, niliyo nayo, ni yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Mwanangu, wewe u pamoja nami sikuzote, na vyote nilivyo navyo ni vyako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba yake akamwambia: ‘Mutoto wangu, wewe uko pamoja nami siku zote na kile ninachokuwa nacho ni chako.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akamwambia, Mwanangu, wewe siku zote u pamoja nami, na vitu vyote nilivyo navyo ni vyako.