Luke 15:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akimpata, atambeba mabegani kwa furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akishampata, humbeba mabegani mwake kwa furaha
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akiisha kumwona, humweka mabegani pake akifurahi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ukishampata, utafurahi sana. Utambeba mabegani mwako
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akimpata, atambeba mabegani kwa furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akimpata, atambeba mabegani kwa furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akiisha kumpata, kwa furaha humbeba mabegani mwake
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akishampata, humbeba mabegani mwake kwa furaha
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akiisha kumwona, humweka mabegani pake akifurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akimpata, atambeba mabegani kwa furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akimwona anamweka mabegani kwa kufurahi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akiisha kumwona, humweka mabegani pake akifurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakapomwona, atamubeba kwa furaha juu ya mabega.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi amwonapo humweka mabegani mwake, akifurahiwa.